-
Rais wa Mali Keita avunjilia mbali Kamati ya Mabadiliko ya Jeshi iliyokuwa inaongozwa na Kepteni Sanogo
-
Maandamano nchini Sudan ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yachangia kulemaza shughuli za ukuaji wa uchumi
-
Mazungumzo ya Rais Obama na Viongozi wa Republican yagonga mwamba juu ya kusaka mbinu za kupitisha bajeti ya serikali
-
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC lataka Mashirika ya Misaada ya Kimataifa yaruhusiwe kuingia nchini Syria
-
Rafael Nadal akaribia kushika nafasi ya kwanza kwa Ubora wa Tennis Duniani upande wa Wanaume
-
Timu ya Taifa ya Misri yaendelea kushusha kichapo kwa Uganda kwenye michezo yake miwili ya kirafiki
-
Blatter aendelea kupata upinzani juu ya mpango wake wa kusogeza mashindano ya Kombe la Dunia majira ya joto nchini Qatar
-
Wahamiaji Haramu kutoka Barani Afrika 94 wapoteza maisha baada ya boti yao kuzama wakielekea Nchini Italia
-
Hali ya Siasa nchini DR Congo kubwa likiwa ni mazungumzoya amani yanayoendelea Kampala baina ya Serikali na Waasi wa M23
-
Uganda yatoa wito wa kuongezwa kwa bajeti kusaidia Kikosi cha AMISOM kinachopambana na Kundi la Al Shabab nchini Somalia