-
Zolani Mahola mwamuziki wa miondoko ya kiafrika anayefanya vizuri nchini Afrika Kusini
-
Jeshi nchini Uhispania laanza kumhoji Dereva mmoja wa Garimoshi lililopata ajali na kuchangia vifo vya watu wapatao 80
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban ataka Mohamed Morsi aachiwe huku maandamano yakitaifa yakitarajiwa kufanyika nchini Misri
-
Takwimu za Umoja wa Mataifa UN zaonesha watu zaidi ya 100,000 wamepoteza maisha nchini Syria katika miezi 28 ya machafuko
-
Mgomo wa Kitaifa waitishwa nchini Tunisia leo kupinga hatua ya kuuawa kwa Mbunge wa Upinzani Mohamed Brahmi
-
Mataifa jirani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC yatakiwa kusitisha ufadhili wake kwa Kundi la Waasi la M23