-
Maandamano zaidi yashuhudiwa kwenye miji mbalimbali nchini Uturuki, sasa waandamanaji wataka waziri mkuu ajiuzulu
-
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe asisitiza uchaguzi kufanyika mwishoni mwa Julai licha ya Wapinzani kutaka usogezwe mbele
-
Rais wa Colombia Juan Santos asikitishwa na kitisho cha kuuawa kwa Kiongozi wa FARC akihofia kutavunja mazungumzo ya amani
-
Wafungwa 22 wakiwemo Magaidi wametoroka gerezani nchini Niger na kuwaua Askari watatu waliokuwa wanalinda eneo hilo
-
Wanamgambo wa Hezbollah waendelea kupambana na Wapiganaji wa Upinzani nchini Syria katika Mji wa Qusayr
-
Roger Federer atinga Robo Fainali ya Mashindano ya French Open baada ya kumfunga Gilles Simon
-
Serena Williams afanikiwa kutinga Robo Fainali ya French Open kwa kumfunga Roberta Vinci
-
Wafanyakazi 119 wa Kiwanda Cha Kuzalisha Kuku nchini China wamepoteza maisha baada ya kuteketezwa kwa moto uliozuka
-
Kocha Mkuu wa Uingereza Hodgson afurahishwa na matokeo ya sare dhidi ya Brazili kwenye mchezo uliopigwa Maracana
-
Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani IAEA Amano akiri hakuna hatua zilizopigwa kwenye mazungumzo ya nyuklia na Serikali ya Iran
-
Wananchi watakiwa kurejesha amani nchini Uturuki huku Makundi yenye msimamo mkali yakinyooshewa kidole cha lawama kwa kusababisha ghasia
-
Klabu ya Chelsea yamtangaza Jose Mourinho kuwa Kocha Mpya na kumpa mkataba wa miaka minne kuhudumu Stamford Bridge
-
Hali ilivyo na athari za ukataji miti katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo DRC
-
Haki za Binadamu imeendelea kuwa kitu muhimu sana na mashirika yamekuwa mstari wa kuhakikisha hilo linafanikiwa
-
Tanzania yafanya uzinduzi wa rasimu ya Katiba Mpya ikiwa na mapendekezo ya kuwa na Serikali Tatu