-
Wananchi wa Zimbabwe wakaribia kupata Katiba Mpya baada ya Bunge nchini humo kupitisha muswada huo
-
Idadi ya watu waliopoteza maisha nchini Bangladesh kufuatia kuanguka kwa ghrofa imefikia zaidi ya watu 1000
-
Utata waibuka nchini Kenya baada ya kuandikwa kwa barua ya kuliomba Baraza la Usalama kuitaka Mahakama ya ICC kufuta kesi dhidi ya Kenyatta na Ruto
-
Syria yasema itajibu mashambulizi mapya ya Kijeshi yatakayofanywa na Jeshi la Israeli dhidi ya taifa hilo huku Marekani ikijiapiza kuilinda
-
Manchester United kumpa David Moyes mkataba wa miaka sita kuinoa timu hiyo kurithi mikoba ya Sir Ferguson
-
Murray na Nadal wasonga mbele katika Mashindano ya Madrid Open huku Federer akiondoshwa mapema
-
Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi VVU yameendelea kukua siku hadi siku kwa wanafunzi wa shule za msingi hadi vyuo vikuu
-
Nyboma Mwan'dido mwanamuziki kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC aliyejizolea umaarufu katika miondoko ya Soukous