-
Watu sita wapoteza maisha kwenye shambulizi la kujitoa mhanga nje ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Somalia
-
Mahakama Kuu nchini India yakataa kuondoa kesi ya Ubakaji inayowakabili watuhumiwa watano katika Jiji la New Delhi
-
Machafuko zaidi yaendelea kushuhudiwa nchini Misri huku Wapinzani wakikataa wito wa kukutana na Rais Morsi
-
Majeshi ya Ufaransa na Mali yaendelea na doria katika Mji wa Timbuktu huku Mkutano wa kuchagia fedha kusaidia mapigano ukifanyika Ethiopia
-
Manchester City yatangaza nia yake ya kumuuza Mshambuliaji wake Balotelli kwenda Italia
-
Ghana na Mali zatinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la AFCON 2013 huku DRC na Niger zikiondolewa kwenye mashindano
-
Galatasaray yamsajili Mshambuliaji Didier Drogba na kumpa mkataba wa mwaka mmoja na nusu
-
Jeshi nchini Misri laonya huenda Taifa hilo likaparaganyika kama ghasia zinazoendelea kushuhudiwa hazitadhibitiwa
-
Wahisani waahidi Dola milioni 600 kusaidia vita vinavyoendelea Kaskazini mwa Mali kukabiliana na magaidi
-
Serikali ya Rwanda yatangaza kumtimua nchini mwake Mwambata wa Kijeshi wa Ubelgiji
-
Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Uzazi na namna ambavyo yanawaathiri wanawake Duniani
-
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC lataka kupeleka ndege zisizo na rubani huku Rwanda ikipinga uamuzi huo
-
SADC yakataa mapendekezo ya Umoja wa Mataifa UN juu ya njia za kuchukua katika kupata suluhu ya mgogoro wa Mashariki mwa DRC