-
Urusi yakiri msimamo wa Rais Bashar Al Assad umechangia kutokea vifo zaidi na huu wakati wa kufanyika mazungumzo
-
Serikali ya Brazil yatangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kutokea kwa janga la moto lililouawa watu 231
-
Rais Morsi atangaza hali ya hatari kwenye Miji mitatu kwa siku 30 kukabiliana na ghasia ambazo zimezuka mwishoni mwa juma
-
Majeshi ya Ufaransa yakishirikiana na yale ya Mali yafanikiwa kuchukua Utawala wa Mji wa Timbuktu bila Upinzani
-
Liverpool, Tottenham zaondolewa hatua ya Tano ya Kombe la Chama Cha Soka Nchini Uingereza FA
-
Bafana Bafana na Cape Verde watinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la AFCON 2013
-
Nigeria kukosa wachezaji wake wawili Yobo na Moses kwenye mchezo dhidi ya Ethiopia
-
Ghasia Mpya zazuka nchini Misri ikiwa ni siku ya tano tangu kuanza kwake na mtu mmoja apigwa risasi
-
Viongozi wa Nchi za ICGLR washindwa kusaini makubaliano ya kupata amani ya kudumu Mashariki mwa DRC katika Mkutano wa Umoja wa Afrika AU
-
Watoto wenye ulemavu na Haki wanazostahili kuzipata katika Jamii sambamba na vikwazo wanavyokabiliwa navyo
-
Ongezeko la Gesi ya Ukaa linavyochangia ongezeko la joto na uharibifu mkubwa wa mazingira duniani
-
Mzozo wa gesi nchini Tanzania umeendelea kupamba moto huko Mtwara na Lindi na sasa serikali inaendelea kusaka suluhu