Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

SADC yakataa mapendekezo ya Umoja wa Mataifa UN juu ya njia za kuchukua katika kupata suluhu ya mgogoro wa Mashariki mwa DRC

Imechapishwa:

Viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC wamekataa mapendekezo ya Umoja wa Mataifa UN juu ya mkakati wao katika kusaka suluhu ya mgogoro wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wakisema kwa muda wote wamekuwa na mpango wao bila ya kupata msaada wowote kutoka Umoja huo!! Hatua hiyo ilisababisha kuvunjika kwa mkutano baina ya pande hizo uliofanyika nchini Ethiopia!!

Mkutano wa Umoja wa Afrika AU ambao ulishuhudia Viongozi wa SADC na UN wakishindwa kuafikiana kwenye suala la kusaka suluhu ya Mashariki mwa DRC
Mkutano wa Umoja wa Afrika AU ambao ulishuhudia Viongozi wa SADC na UN wakishindwa kuafikiana kwenye suala la kusaka suluhu ya Mashariki mwa DRC
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.