-
Mtu mmoja afariki dunia na wengine 8 wamejeruhiwa kufuatia mlipuko wa bomu mjini Nairobi, Kenya
-
Viongozi wa SADC kukutana jijini Dar es Salaam, Tanzania kujadili mgogoro wa DRC
-
Watu kadhaa wameripotiwa kufa kwenye maandamano nchini Misri nje ya makazi ya rais Morsi, ulinzi waimarishwa
-
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mafuriko nchini Ufilipino yafikia zaidi ya 300
-
Waziri mkuu wa Ethiopia asema yuko tayari kwa mazungumzo na nchi ya Eritrea
-
Clinton: NATO inahitaji pongezi, waidhinisha ombi la Uturuki kulinda mipaka yake
-
Leo ni vuta nikuvute nusu fainali ya michuano ya Tusker Chalenji - CECAFA
-
Benitez: Chelsea hatujakata tamaa, tutawania taji la Europa
-
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel akutana na waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu
-
Mkutano kati ya waasi wa M23 na viongozi wa serikali ya DRCongo
-
Ripoti mpya kuhusu rushwa yaonyesha mataifa ya Ulaya kukithiri kwa rushwa