-
Mahakama kuu nchini China yamuhukumu kifungo cha miaka 15 jela aliyekuwa mkuu wa Polisi, Wang Lijun
-
Rais wa Sudan na Sudan Kusini wakutana kwa mazungumzo mjini Addis Ababa, Ethiopia
-
Shambulio la bomu laua wawili na kujeruhi 48 kwenye mji wa Bauchi nchini Nigeria
-
Viongozi wa upinzani nchini Syria wanaopinga uvamizi wa majeshi ya kigeni nchini humo wakutana mjini Damascus
-
China yapeleka meli nyingine mbili jirani na visiwa Senkaku vyenye mgogoro kati yake na nchi ya Japan
-
Nchi ya Cote D'Ivoire yatangaza kufungua mpaka wake wa anga na nchi ya Ghana baada ya kuufunga juma lililopita
-
Walimu nchini Kenya watangaza kusitisha mgomo baada ya kufikia makubaliano na Serikali
-
John Terry atangaza kutundika daruga kucheza soka la kimataifa
-
Kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers asikitishwa na uamuzi wa mwamuzi kumpa kadi nyekundu mchezaji wake
-
Jeshi la Kenya lakanusha kuua raia mjini Kismayo, Somalia
-
Sehemu ya pili makala maalumu kuhusu watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu nchini Tanzania
-
M23 yashutumiwa kutekeleza vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini DRC
-
Mgomo wa waalimu wasitishwa rasmi nchini Kenya