-
Katibu Mkuu wa UN Ban Ki Moon ataka machafuko ya Syria yasimalizwe kwa njia ya majeshi
-
Wachimbaji wa madini wa mgodi wa Marikana nchini Afrika Kusini wamerejea kazini baada ya mgomo wa majuma sita
-
Manchester United na Barcelona washinda huku Bingwa Mtetezi Chelsea akibanwa mbavu nyumbani
-
Kocha wa Newcastle United Pardew akiri Demba Ba huenda akaondoka January mwakani
-
Wafanyakazi nchini India wafanya mgomo wa nchi nzima kushinikiza mabadiliko ili kukuza uchumi
-
Polisi nchini Libya waasi kupinga mabadiliko ya uongozi katika Jiji la Benghazi baada ya shambulizi la Ubalozi wa Marekani
-
Jeshi la Sudan limefanikiwa kuwasambaratisha Waasi wa SPLM-North katika Jimbo la Blue Nile
-
Serikali ya Syria yakataa ripoti ya UNICEF inayoonesha ukiukwaji wa haki za watoto katika Taifa hilo
-
Changamoto zinazoikabili serikali mpya ya Somalia chini ya Rais Hassan Sheikh Mohamoud
-
Jiwe la msingi kwa ajili ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni lawekwa na ukikamilika ndiyo litakuwa daraja refu zaidi Afrika Mashariki