-
Rais Assad atamba wapinzani wake hawawezi kushinda kwenye mapigano yanayoendelea kwenye nchi hiyo
-
Maandamano makubwa kufanyika katika nchi za Kiislam baada ya Sarat Ijumaa kupinga filamu inayodhalilisha Uislam
-
Mabingwa Watetezi wa Kombe la Europa Atletico Madrid waanza mashindano hayo kwa ushindi sawa la Liverpool
-
Mashambulizi mawili ya kujitoa mhanga nchini Somalia yasababisha vifo vya watu 14
-
Wachimbaji wa mgodi wa AngloGold Ashanti nchini Afrika Kusini wagoma kutaka nyongeza ya mshahara
-
Watu 9 wamepoteza maisha nchini Pakistan kwenye maandamano ya kupinga filamu inayodhalilisha Uislam
-
Ujue asili na maana ya muziki wa Bango ambao ni maarufu sana nchini Kenya