-
Rais wa Angola Jose Eduardo dos Santos amewaomba raia wake kumpa miaka mitano zaidi kuongoza taifa hilo.
-
Iran kufungua mkutano wa jumuiya ya nchi zisizofungamana na upande wowote hii leo.
-
Watu sita wameopolewa kutoka baharini wakiwa hai hii leo baada ya boti kupotea katika pwani ya Indonesia.
-
Baraza la usalama la umoja wa mataifa limewasikiliza mawaziri wa nje wa DRC na Rwanda
-
Mgogoro waibuka baina ya vyombo vya habari na serikali nchini Burundi
-
Wafanyakazi 19 wa mgodi wa makaa ya mawe wamepoteza maisha kusini magharibi mwa China
-
Pazia la mashindano ya Paralympic lafunguliwa rasmi.
-
Michuano ya US Open yaingia siku yake ya nne
-
Upinzani wahofu uchaguzi kutokuwa huru na wa haki nchini Angola.
-
Matumaini yaonekana mzozo wa wafanyakazi na wamiliki wa kampuni ya madini ya fedha nchini Afrika Kusini.
-
Wanajeshi zaidi ya 8000 wameuwawa nchini Syria tangu kuanza kwa machafuko.
-
Rekodi mpya zaandikwa katika siku ya kwanza ya mashindano ya Paralympics
-
Syria yaapa kupambana zaidi