-
Mitt Romney akubali uteuzi na kuahidi kuijenga upya Marekani.
-
Malumbano kuhusu nuklia yatawala mkutano wa Iran.
-
Rwanda yakaza uzi kutohusika na machafuko DRC
-
Idadi ya waliopoteza maisha China yafikia 37
-
Wananchi wa Angola wanapiga kura leo kumchagua rais wa nchi hiyo.
-
Gambia yatetea adhabu ya kifo kwa wafungwa.
-
Upangaji wa timu kwenye makundi wakamilika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
-
Andy Roddick atangaza kustaafu tenesi.
-
Mazungumzo ya amani baina ya wafanyakazi wa mgodi na wamiliki wa kampuni ya Lonmin ya Afrika Kusini yaahirishwa.
-
Waangola wapiga kura katika uchaguzi unaokisiwa kuwa rais wa sasa Jose Eduardo dos Santos atashinda .
-
Ujerumani kuwapa hifadhi wakimbizi 200 kutoka Libya.
-
Syria yaishukia Uturuki kuhusu ugaidi