Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Umuhimu na uhifadhi wa wanyamapori na mimea

Imechapishwa:

Mwishoni mwa juma lililopita, dunia iliadhimisha siku ya kimataifa ya wanyamapori, kusherehekea mchango wa wanyamapori na mimea kwa dunia. Katika makala ya wiki hii, tumezungumza na Ephraim Mwangomo, kamishmna msaidizi wa uhifadhi katika hifadhi ya taifa ya Sadaani nchini Tanzania, hifadhi iliyoko kwenye pwani ya bahari ya hindi na kwa pamoja tunaangazia siku hii inayoadhimishwa Machi 3 kila mwaka.

Faru ni miongoni mwa wanyama walioko hatarini kutoweka.
Faru ni miongoni mwa wanyama walioko hatarini kutoweka. REUTERS - Baz Ratner
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.