Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
10:12
-
10:10
-
Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika
Kulingana na jumuiya ya IGAD, zaidi ya vifo 190 vimeriotiwa katika eneo la pembe ya Afrika, huku watu wengine laki 7 wakiyahama makazi yao.29/04/202410:03 -
09:59
-
10:09
-
09:46
-
09:59
-
09:59
-
Akina mama wahifadhi mashamba ya pweza Lamu katika bahari hindi
Sote tunataka familia zetu ziwe na chakula cha kutosha ili kula kile ambacho ni salama na chenye lishe. Na lengo la 2 la maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ni ulimwengu usio na njaa ifikapo 2030.16/03/202409:57 -
09:47
-
Mchango wa waziri mkuu wa zamani hayati Edward Lowassa katika siasa za Tanzania na Ukanda
14/02/202410:05 -
Matumizi ya pikipiki za umeme katika kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni kwenye mazingira
Wiki chache zilizopita, tulikuletea makala kuhusu pikipiki za umeme, na kupitia ukurasa wetu wa Facebook RFI KIswahili, tukawa na maswali mengi kuhusu pikipiki hizi. Katika makala haya tumemwalika, Raymond Kitunga, kutoka kampuni nyingine inayotengeneza pikipiki za umeme, Spiro Kenya, na hapa atakuwa anayajibu baadhi ya maswali kuhusu pikipiki hizi za umeme.05/02/202409:55 -
Ukulima wa wadudu na hasa nzi aina ya black Soldier Fly, kama njia mbadala ya chakula cha mifugo wao
Nchini Kenya, wakulima wameanza kukumbatia ukulima wa wadudu na hasa nzi aina ya black Soldier Fly, kama njia mbadala ya chakula cha mifugo wao.Kulingana na wanasayansi, nzi hawa wana proteni ya kiwanngo cha juu, na hivyo wanatoa nafasi bora kwa wakulima kuboresha vyakula vya mifugo yao.05/02/202410:04 -
Matumizi ya pikipiki za umeme katika kutunza mazingira kwa kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa
22/01/202409:58 -
Shirika la GreenVenture, la jijini Arusha inavyotumia taka za plastiki kuunda vifaa vya kujengea
Makala ya leo yaliandaliwa Florence Kiwuwa, yanaangazia juhudi za jamii katika mji wa Arusha nchini Tanzania, na kile wanachokifanya kupiga jeki harakati za kukabilianana taka za plastiki.15/01/202409:56
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.