Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Tamasha la Mazingira na amani nchini DRC

Imechapishwa:

Kwa mara ya kwanza kabisa mashariki mwa DRC, pengine hata nchini Kongo, tamasha la mazingira lililopewa jina la MAZINGIRA FESTIVAL linaloandaliwa na asasi za kiraia, wanaharakati wa mazingira, viongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Virunga kwa kushirikiana na jimbo la Kongo litafanyika katika kijiji cha Vitshumbi kijiji kilichopo. katika Hifadhi ya Kitaifa ya Virunga mashariki mwa DRC kuanzia tarehe 12,13, 14 na 15/08/2022.

Sokwe walio katika mbuga ya wanyama ya Virunga DRC, hapa ilikuwa mwaka 2018.
Sokwe walio katika mbuga ya wanyama ya Virunga DRC, hapa ilikuwa mwaka 2018. AFP/File
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.