Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Haki ya raia kuwa na mazingira safi na salama

Imechapishwa:

Msikilizaji, mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu, Baraza kuu la Umoja wa mataifa, lilipitisha azimio kwamba kila mtu ana haki ya mazingira safi, yenye afya na endelevu.Azimio kama hili lilipitishwa 2021 na baraza hilo ambalo lilitoa wito kwa mataifa, mashirika na makampuni ya biashara kuongeza juhudi za kuhakikisha kuna mazingira yenye afya kwa wote.

COP15 nchini Ivory Coast
COP15 nchini Ivory Coast REUTERS - LUC GNAGO
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.