Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Uhafadhi katikati ya majanga ya kidunia

Imechapishwa:

Msikilizaji, katikati ya janga la corona na hali ya mabadiliko ya tabianchi, suala la uhifadhi wa mazingira na wanyamapori halipaswi kusahaulika, nchi mbalimbali zinajitahidi kuangazia namna wanachi wanaweza kuhusishwa kikamilifu katika suala hili, wakati uo huo pia wananchi wenyewe wamejipa jukumu la kulinda mazingira.

Nchi zatakiwa kuhamasisha wananchi kufanya uhifadhi wa mazingira
Nchi zatakiwa kuhamasisha wananchi kufanya uhifadhi wa mazingira AFP - LUDOVIC MARIN
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.