Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Siasa na mabadiliko ya tabianchi

Imechapishwa:

Makala yetu wiki hii, inaangazia wakati huu athari za mabadiliko ya tabianchi zikishuhudiwa kote duniani, wengi wanahoji jukumu la viongozi wa kisiasa katika kushughulikia swala hili linalotishia sayari ya dunia. Makala haya yanaangazia iwapo viongozi wa kisiasa wanafanya vya kutosha kulipa kipaumbele swala la mabadiliko ya tabianchi.

Mkulima wa kahawa mjini Meru, Kenya
Mkulima wa kahawa mjini Meru, Kenya © RFI/Albane Thirouard
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.