Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mvutano kati ya Mahakama za Marekani na rais Joe Biden kuhusu hali ya hewa

Imechapishwa:

Makala ya wiki hii inaangazia, uamuzi wa mahakama ya juu nchini Marekani ilitoa uamuzi wa kushtua baada ya kutangaza kudhibiti sehemu ya mamlaka ya rais Joe Biden, kuchukua hatua za kudhibiti athari za mabadiliko ya tabianchi, uamuzi ulikuwa pigo kwa utawala wake katika kufikia melengo ya kimataifa na hasa utekelezaji wa mkataba wa Paris.

Rais wa Mrekani Joe Biden, hapa ni hivi karibuni wakati akitangaza mpango mpya wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Tarehe 20/07/2022
Rais wa Mrekani Joe Biden, hapa ni hivi karibuni wakati akitangaza mpango mpya wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Tarehe 20/07/2022 REUTERS - JONATHAN ERNST
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.