Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Jukwaa la Sekta ya Utalii laanzishwa Afrika Mashariki ili liweze kuchangia maendeleo zao katika Ukanda huu
Imechapishwa:
Cheza - 10:17
Sekta za utalii zimechukua na mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi ya mataifa yetu, hasa katika kuchangia fedha za kigeni na kutoa ajira kwa vijana wengi katika jamii zetu, Katika kuimarisha sekta ya utali katika nchi zetu za Afrika Mashariki, tumeshudia wakurugezi pamoja na wadau mbali mbali wa sekta ya utali wakikutana huko katika mjii wa Kigali nchini Rwanda, na kuanzisha jukwaa la pamoja katika sekta ya utali katika nchi za Afrika Mashariki. Ebby Shaban Abdallah katika makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho inaangazia juu ya mchango wa jukwa hilo