Pata taarifa kuu
Palestina-Israeli

Washirika wa Palestina wataka mazungumzo zaidi na Israeli

Washirika wakubwa wa Palestina pamoja na mataifa yaliyotoa misaada nchini humo, wametaka mazunguzo kurejelewa kati ya Isreal na Palestina ili kutatua matatizo yanayowakumba.

Mahmoud Abbas
Mahmoud Abbas Reuters/Mohamad Torokman
Matangazo ya kibiashara

Mazungunzo ya amani kati ya Palestina na Israeli yalivunjika mwaka mmoja uliopita, na sasa rais Mahmud Abbas anajiandaa kuwasilisha ombi katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, siku ya Ijumaa juma hili.

Waziri Mkuu wa Isreal Binyamin Netanyahu amesema kuwa hatua hiyo ya Palestina haitafua dafu na badala yake wataanza tena mazunumo ya pamoja.

Marekani imesema kuwa itatumia kura yake ya turufu kupinga ombi la Palestina kwa kila inachosema kuwa mgogogro kati ya pande hizimbili unaweza kutatuliwa tu kwa mazumgumzo.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.