Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Tanzania kuzima Simu Zote ambazo za Chini ya Kiwango,Je hatua hii itakuwa na Athari Gani kwa Mazingira hapa nchini?

Imechapishwa:

Serikali ya Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia Mamlaka yake ya mawasiliano (TCRA) inatarajia kuzima simu zote ambazo ni za chini ya kiwango maarufu kama simu za kichina au simu fakeJe hatua hii itakuwa na faida na athari gani kwa mazingira juu juu ya simu hizi amabzo zinacha kufanya kazi ifikapo mwezi wa sita?Makala yetu ya Mazingira leo Dunia Yako Kesho inagazia juu ya athari hizo 

A clerk arranges Apple's iPhone 5C phones on racks bearing the logo of China Mobile, at a mobile phone shop in Beijing December 23, 2013.
A clerk arranges Apple's iPhone 5C phones on racks bearing the logo of China Mobile, at a mobile phone shop in Beijing December 23, 2013. Reuters/路透社
Vipindi vingine
  • 10:10
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.