Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
NEMC: Kupambana na Mabadiliko ya tabianchi
Imechapishwa:
Cheza - 10:42
Tatizo la Mabadiliko ya tabianchi bado linaendelea kuwa tishio kubwa kwa ustawi wa maisha ya binadamu na kwa maendeleo endelevu haswa katika nchi zinazoendelea ambapo athari zake zimekwishaonekana katika mazingira, afya, miundombinu na pamoja na kiuchumi. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) la Tanzania limeazisha mikakati mbali mbali kwajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi