Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Hifadhi endelevu ya Misitu Afrika mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 10:27
Ushirikishaji Jamii katika usimamizi na kuhifadhi Misitu ni moja ya kuhifadhi na kutumia misitu katika njia endelevu lengo likiwa ni kuhifadhi na kutumia misitu kwa vizazi vilivyopo na vijavyo. Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho itangazia juu ya mchango wa ushirikishwaji wa wananchi katika kusimamia na kuhifadhi misitu.