Mipango miji ni mojawapo ya mbinu ya kukabiliana na ongezeko la watu mijini na ni suala ambalo linasalia changamoto kwa mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kuimarisha hali ya mazingira. Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa uthmini zaidi.
Vipindi vingine