Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Changamoto zinazokikabili kilimo Afrika Mashariki na kati
Imechapishwa:
Cheza - 09:43
Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wa Matifa mengi barani Afrika, Kwa kutambua umuhimu wa kilimo, Nchi ya Tanzania imeamua kuanzisha kampeni ya kilimo kwanza, Mtangazaji wetu Ebby Shaban Abdallah anaangazia changamoto ya kilimo katika nchi za Afrika mashariki na kati