Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Je mashambulizi ya Al shabaab kukomesha uchaguzi Somalia?

Imechapishwa:

Nchi ya Somali imetoa wito kwa mazungumzo ya dharura kutokana na mgogoro wa kisiasa uliopo,huku hali tete ya kiusalama ikiendelea kushuhudiwa nchini humo kutokana na mashambulizi ya Al shabaab. Unadhani viongozi wa nchi ya somalia wafanye nini kuhakikisha uchaguzi ulio salama?

Maafisa wa usalama wakiwa katika eneo la tukio la shambulizi la bomu checkpoint, Mogadishu
Maafisa wa usalama wakiwa katika eneo la tukio la shambulizi la bomu checkpoint, Mogadishu REUTERS/Feisal Omar
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.