Afrika Ya Mashariki
Pombe haramu na jitihada za kufikia maendeleo ya jamii Afrika mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 09:29
Makala ya Afrika mashariki juma hili inaangazia kuhusu watengenezaji na walevi wa gongo na chang'aa huko Ngara Kagera Tanzania kwa namna gani Nchi yenye walevi wa gongo kupindukia inapambana na ili kupata maendeleo. Ni vyema Juhudi zikachukuliwa kuzuia kabisa hilo ili rasirimali zilizopo zitumiwe kwenye mambo mengine na siyo kulewa ....karibu..!!!