Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa na msanii wa filamu za Tanzania "Dude"

Imechapishwa:

Juma hili katika makala ya Sanaa tunazungumza na Kulwa Kikumba maarufu kwa jina la "Dude" ambaye ni msanii maarufu wa filamu za Tanzania au Bongo Movie, tega sikio upate kufahamu mambo mbalimbali yanayojiri katika tasnia ya filamu nchini Tanzania.

Vipindi vingine
  • 20:04
  • 20:05
  • 20:12
  • 20:03
  • 20:02
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.