Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
20:05
-
Tanzania: Sanaa ya uigizaji, tunamuangazia Asha Jumbe maarufu White Maria
Asha Jumbe maarufu White Maria ni Muigizaji aliyejizolea umaarufu akiwa na umri wa Miaka nane tu, sasa ni mtu Mzima aja kivingine kufanya sanaa ya Fimalu za kiswahili,Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumzia safari yake ya Uigizaji.11/05/202420:12 -
Wiki hii makala haya yanamuangazia Steven Ibrahim maarufu Eddy Music
Sanaa ya Muziki imenihitaji kuliko nilivyo ihitaji, ni kauli yake Steven Ibrahim maarufu Eddy Music alipozungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.04/05/202420:03 -
Muziki wa injili na Obby Alpha ambaye ametunga vibao kama bora kushukuru
Msani huyo amesema kuwa alitunga vibao kama bora kushukuru kutokana na changamoto za kimaisha alizokuwa anakabiliwa nazo kipindi fulani katika maisha yake.27/04/202420:02 -
Zanzibar: Fahamu zaidi kuhusu Muziki wa Baibuda katika makala haya
Mwandishi wetu Steven Mumbi amezungumza na msani wa muziki huu wa Baibuda13/04/202420:09 -
Afrobongo na Bruce Africa
Makala haya hukuletea historia ya sanaa na wasani barani Afrika.06/04/202420:03 -
Sanaa ya muziki wa kizazi kipya na Sam Silver
Sam Silver anazungumza naye Steve Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii.30/03/202420:03 -
Muziki wa Taarab na chid boy mpiga kinanda wa bendi ya nakshi nakshi
Muziki wa Taarab unashehenezwa na mirindimo ya vyombo kwa kisasa sambamba na Kinanda , Kutana na Chid Boy Mpiga kinanda wa Bendi ya Nakshi Nakshi na Mmiliki wa Bendi hiyo.16/03/202420:07 -
Muziki wa kizazi kipya na Kadason kutoka nchini Tanzania
Sanaa ya muziki wa kizazi kipya.09/03/202420:10 -
Huduma kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania
Hospitali ya Inuka iliyo katika Wilaya ya Makambako Mkoani Njombe nchini Tanzania ni moja ya hospital inayotoa huduma ya utengamao kwa walemavu wa viungo na kuibua tabasamu kwa wana wa taifa hili kutoka mikoa mbali mbali nchini humu.28/02/202409:59 -
Zanzibar: Wasani waliotumbuiza katika tamasha la sauti za busara
Wasani mbali kutoka Afrika walihudhuria tamasha hilo wakiwemo wale wa jamii ya wamaasai kutoka Kenya.24/02/202420:05 -
20:02
-
Ubunifu wa mavazi na Doreen Mashika Visiwani Zanzibar
Doreen Mashika ni mbunifu kutoka visiwani Zanzibar10/02/202420:05 -
Maendeleo ya muziki wa taarab nchini Tanzania
Steven Mumbi amefanya mahojiano na Rahama Machupa msanii wa nyimbo za taarab nchini Tanzania.03/02/202420:07 -
Tamasha la sauti za busara kufanyika visiwani Zanzibar
Tamasha hilo litafanyika mwezi Februari.27/01/202420:10
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.