Mahojiano ya nyumba ya sanaa na Profesa Davis Francis Imbuga.Karibu
Vipindi vingine
-
DRC: Ubunifu wa viatu vya ngozi mjini Goma na Christian Bazika
Katika Nyumba ya sanaa wiki hii Steaven Mumbi akishirikiana na Ruben Lukumbuka ambaye wiki iliyopita alitembelea mji wa Goma ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako alikutana na mbunifu wa sanaa mbalimbali ikiwemo ubunifu wa kutengeneza viatu bwana Christian Bazika anayetengeneza bidhaa za ngozi mashariki mwa nchi hiyo.25/05/202420:04 -
20:05
-
Tanzania: Sanaa ya uigizaji, tunamuangazia Asha Jumbe maarufu White Maria
Asha Jumbe maarufu White Maria ni Muigizaji aliyejizolea umaarufu akiwa na umri wa Miaka nane tu, sasa ni mtu Mzima aja kivingine kufanya sanaa ya Fimalu za kiswahili,Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumzia safari yake ya Uigizaji.11/05/202420:12 -
Wiki hii makala haya yanamuangazia Steven Ibrahim maarufu Eddy Music
Sanaa ya Muziki imenihitaji kuliko nilivyo ihitaji, ni kauli yake Steven Ibrahim maarufu Eddy Music alipozungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.04/05/202420:03 -
Muziki wa injili na Obby Alpha ambaye ametunga vibao kama bora kushukuru
Msani huyo amesema kuwa alitunga vibao kama bora kushukuru kutokana na changamoto za kimaisha alizokuwa anakabiliwa nazo kipindi fulani katika maisha yake.27/04/202420:02