Habari RFI-Ki
Kusuasua kwa mazungumzo kati ya serikali ya DRC na waasi wa M 23
Imechapishwa:
Cheza - 09:55
Mazungumzo kati ya waasi wa M 23 na wawakilishi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanaendelea jijini Kampala Uganda lakini kwa kusuasua.Kwanini inakuwa hivi ?Ungana na Reuben Lukumbuka kwa uchambuzi zaidi katika kipindi cha Habari Rafiki.