Habari RFI-Ki
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mzozo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Imechapishwa:
Cheza - 09:56
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliofanyika jijini New York Marekani mwishoni mwa mwezi wa tisa ulionekana kutozaa matunda kati ya rais wa Rwanda Paul Kageme ambaye anashtumiwa kuwafadhili waasi wa M 23.Ungana na Ali Bilal kwa mengi zaidi katika kipindi cha Habari Rafiki