Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Siku ya vijana duniani

Imechapishwa:

Vijana ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya taifa lolote duniani.Barani Afrika idadi kubwa ya vijana bado wanakabiliwa na tatizo la ajira.Je vijana kutoka barani Afrika wana chochote cha kujivunia siku ya vijana duniani?Ungana na Martha Saranga kwa mengi zaidi.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.