Jukwaa la Michezo
Maendeleo ya soka la wanawake Afrika Mashariki na Kati
Imechapishwa:
Cheza - 22:27
Makala ya Jukwaa la Michezo tunajadili maendeleo ya mchezo wa soka kwa wanawake Afrika Mashariki na Kati baada ya Harambee Starlets kufuzu fainali ya Afrika kwa mara ya kwanza itakayofanyika nchini Cameroon baadaye mwaka huu.