Jukwaa la Michezo
Soka: Safari ya Mataifa ya Afrika kuelekea kombe la dunia mwaka 2018
Imechapishwa:
Cheza - 22:46
Jumapili hii tunaangazia safari ya mataifa ya Afrika kufuzu katika fainali ya mashindano ya soka ya kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi pamoja na kombe la dunia la mchezo wa Raga, michuano inayoendelea nchini Uingereza.