Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Pata uchambuzi wa michezo ya mbio za baiskeli, raga na soka.

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya Jukwaa la Michezo na hii leo utasikia uchambuzi katika mchezo mbalimbali ikiwemo mashindano ya mbio za baiskeli yaliyomalizika hivi karibuni nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, michuano ya raga nchini Kenya na Uganda halikadhalika fainali za kombe la shirikisho zinazotarajiwa kupigwa jumapili hii nchini Brazili kati ya wenyeji Brazili na Uhispania. Kwa mengi zaidi ungana na mwanamichezo wako Victror Abuso.

Journal des sports
Journal des sports © Studio Graphique FMM
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.