Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Uteuzi wa Lydia Nsekera kwenye kamati ya utendaji wa FIFA

Imechapishwa:

Karibu katika Jukwaa la Michezo ambapo juma hili tunaangazia uteuzi wa Bi. Lydia Nsekera wa nchini Burundi ambaye ni mwanamke wa kwanza kuingia katika kamati ya utendaji ya Shirikisho la soka duniani FIFA, jiunge naye Victor Abuso akiangazia uteuzi huo ambao umetafsiriwa na wengi kama hatua ya ushindi kwa wanawake na katika ukuaji wa soka katika bara la Afrika.

guardian.co.uk
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.