Jukwaa la Michezo
Kuatana na mengi kuhusu mwanariadha wa mbio ndefu kutoka nchini Uganda,Stephen Kiprotich
Imechapishwa:
Cheza - 20:41
Jukwaa linakufahamisha mengi kuhusu wanamichezo mashuhuri kutoka Afrika mashariki ambao wameng'ara katika michuano ya Olimpiki jijini London 2012...kwa leo ni mwanariadha wa mbio ndefu kutoka nchini Uganda,Stephen Kiprotich na mengineyo karibu..