Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Unataka kufahamu matokeo ya michezo ya robo fainali za mashindano ya AFCON?

Imechapishwa:

Jukwaa la michezo Jumapili ya tarehe 5 mwezi wa Februari mwaka 2012 linaangazia awamu ya robo fainali ya kombe la soka la mataifa barani Afrika mwaka 2012 yanayoendelea nchini Gabon na Guinea ya Ikweta.Jiunge na msimulizi wa makala haya Victor Abuso

Ramani inayoonyesha nchi zinazoshiriki mashindano ya AFCON
Ramani inayoonyesha nchi zinazoshiriki mashindano ya AFCON MTN Football
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.