Jukwaa la Michezo
Umuhimu wa kujituma kwa wachezaji wa timu ya taifa na Vilabu, pia mashindano ya riadha
Imechapishwa:
Cheza - 18:52
Watayarishaji wa makala haya ya Jukwaa la Michezo juma hili wameangalia suala la nidhamu kwa wachezaji wa vilabu na timu ya Taifa lakini pia wameangazia mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na kati maarufu kama CECAFA.