Maktaba za Michezo za Alhamisi 19 Desemba 2013
Previous day: 17 Desemba 2013 Next day: 20 Desemba 2013-
Timu ya Raja Cassablanca yaingia fainali baada ya kuifunga Atletico Mineiro ya Brazil mabao 3 kwa 1 katika fainali ya kuwania kombe la dunia baina ya vilabu
-
Tresor Mputu mchezaji wa klabu ya TP-Mazembe atishia kutojiunga na timu hio kwa michuano ya CHAN iwapo wachezaji hawatatendewa haki