Maktaba za Afrika za Jumanne 06 Novemba 2012
Previous day: 05 Novemba 2012 Next day: 07 Novemba 2012-
Marekani yataka uchunguzi dhidi ya jaribio la kumuua daktari Denis Mukwege.
-
Mpatanishi wa mgogoro wa Mali rais Blaise Compaore kukutana na wawakilishi wa kundi la Ansar Dine.
-
Watu 363 wamepoteza maisha kwa mafuriko tangu mwezi Julai nchini Nigeria.
-
Wakuu wa majeshi wa ECOWAS wakutana kupitia pendekezo la uvamizi wa kijeshi nchini Mali