-
Rais wa Urusi Vladimir Poutine aamuru majeshi yake kuondoka katika eneo la mpaka na Ukraine
-
Serikali ya Burundi yakanusha tuhuma za kuhujumu vyama vya upinzani nchini humo kwa lengo la kuvidhohofisha
-
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon apendekeza kutumwa kwa wanajeshi 11.820 nchini jamhuri ya Afrika ya kati
-
Mtu mmoja apoteza maisha katika maandamo ya waislam jijini Nuakchott kupinga kitendo cha kuchanwa kwa Koran
-
Rais wa Marekani Barck Obama amtaka Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa Israeli kufanya maamuzi magumu ili kufikia amani na jirani zake wa Palestina
-
Kesi ya mauaji ya bingwa wa mbio za paralympic Oscar Pistorus inaendelea kusikilizwa leo kwa siku ya pili.
-
Urusi yaionya Marekani dhidi ya vitisho vya kuiwekea vikwazo vya kiuchumi na kwamba inauwezo wa kujikumu pekeake
-
Timu ya taifa ya Burundi Intamba mu Rugamba uso kwa uso kesho na Amavubi ya Rwanda katika mechi ya kirafiki
-
Mwenendo wa bunge la Katiba
-
Madhara ya kutumia madini ya zebaki kwa kusafisha meno