-
Polisi 24 wauawa huko Sinai nchini Misri wakati watu 36 wakipoteza maisha jana Jumapili jijini Cairo
-
Jeshi la Syria lashambulia ngome za waasi nchini humo.
-
Viongozi wa SADC waitaka Jumuiya ya kimataifa kuiondolea vikwazo Zimbabwe
-
kesi ya bingwa wa mbio wa walemavu Oscar Pistorius dhidi ya mpenzi wake, kuamuliwa leo
-
Watu 37 wapoteza maisha katika ajali ya treni iliotokea huko nchini India
-
Tjostolv Moland mfungwa raia wa Norway akutwa na umauti katika jela kuu jijini Kinshasa
-
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, apokelewa kwa shangwe nchini China na mwenyeji wake Xi Jinping
-
Baada ya mashindano ya riadha, Bingwa wa mita mia moja Usein Bolt apongeza maandalizi
-
Kindumbwendumbwe leo katika ligi kuu Uingereza, Manchester City kuvaana na NewCastle United, Morinho bado anamatumini ya kumpata Rooney
-
Athari za ukataji wa miti
-
Unyanyasaji wa kisaikologia
-
Rais Kikwete amaliza muhula wake wa kuhudumu katika Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC