Maktaba za Jumatatu 31 Desemba 2012
Previous day: 30 Desemba 2012-
Waziri Clinton akabiliwa na maradhi ya kuganda kwa damu na kulazimika kufikishwa Hospital kwa matibabu
-
Rais Chavez akabiliwa na maradhi mengine akiendelea kupatiwa tiba nchini Cuba na hali yake mbaya
-
Hofu yatanda nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati huku Waasi wa Seleka wakitishia kuuchukua Mji wa Bangui
-
Wabunge wa Marekani wanapambana kuhakikisha wanapitisha Bajeti ya nchi hiyo licha ya tofauti walizonazo
-
Kocha Mkuu wa QPR Redknapp ana matumaini Timu yake haitoshuka daraja licha ya kupata matokeo mabaya
-
Lampard akiri hakuna mazungumzo na Chelsea yenye lengo la kuingia mkataba mpya baada ya wa sasa kwisha
-
Kocha Ferguson ataka wachezaji wa Manchester United kuendelea kucheza kwa kiwango chao cha sasa mwakani
-
Umoja wa Mataifa UN wamaliza operesheni yake ya kulinda amani nchini Timor Mashariki baada ya miaka 13
-
Serikali ya Syria yatangaza utayari wake wa kuketi mezani kwa mazungumzo kumaliza umwagaji wa damu
-
Mapitio ya Mada zilizojadiliwa kwenye Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho kwa mwaka 2012
-
Mapitio ya Mada zilizojadiliwa kwenye Makala ya Jua Haki Zako kwa mwaka 2012
-
Nafasi adhimu kwa wasikilizaji wa Rfi Kiswahili kueleza mambo wanayoyakumbuka kwa mwaka 2012