-
Mahakama nchini Ugiriki imemuachia huru Mwandishi wa Habari Vaxevanis baada ya kumkuta hana hatia
-
Idadi ya waliopoteza maisha nchini Marekani kutokana na Kimbunga Sandy yafikia watu 90
-
Kiongozi wa Upinzani nchini Mauritania ataka Jeshi lijiweke kando na siasa
-
Serikali ya Nigeria yatangaza utayari wake wa kuzungumza na Kundi la Boko Haram
-
Mancini akiri alikuwa na mpango wa kuihama Manchester City msimu uliopita kabla hajaongeza mkataba
-
Wenger awasihi mashabiki wa Arsenal kumpa heshima Van Persie watakapoelekea Old Trafford
-
Ferguson haamini mwamuzi Clattenburg alitumia lugha isiyofaa kwenye mchezo wao na Chelsea
-
Mfahamu kwa undani Mwamuziki Ismael Lo ambaye ni raia wa Senegal
-
Serikali ya Tanzania yaridhia ombi la wafanyakazi na wabunge la uwepo wa fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii