-
Kimbunga chaendelea kuikaribia Marekani huku safari za ndege zikisitishwa kuchukua tahadhari
-
Shambulizi la kujitoa mhanga lasababisha vifo vya watu wanane na wengine 100 wakijeruhiwa nchini Nigeria
-
Waasi nchini Sudan watekeleza mashambulizi dhidi ya Jeshi la Serikali katika Jimbo lenye machafuko la Darfur
-
Chelsea yamtuhumu Mwamuzi Mark Clattenburg kutoa lugha ya kibaguzi dhidi ya Mikel Obi
-
Umoja wa Mataifa UN wataka mapigano ya kidini nchini Myanmar yamalizwe mara moja kipindi hiki ambacho maelfu wamekimbia makazi yao
-
Kiongozi wa zamani wa Ufilipino Arroyo akata rufaa kupinga mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi
-
Hali inazidi kuwa mbaya nchini Syria na kushuhudia watu 10 wakiuawa kwenye shambulizi la kigaidi Damascus
-
Mashabiki wa Klabu ya Al Ahly ya Misri wasusia mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Esperance
-
Kemikali za Viwandani jinsi ambavyo zinachangia uharibifu wa mazingira Barani Afrika
-
Wananchi wa Haki ya kupata taarifa kupitia uandishi wa habari wa data
-
Usafiri wa Garimoshi waanza rasmi Jijini Dar Es Salaam kukabiliana na msongamano wa magari