-
Afisa mmoja wa polisi auawa nchini Kenya huku wengine kumi wakijeruhiwa katika mlipuko wa guruneti jijini Mombasa
-
Obama ajiweka sawa katika mdahalo wa pili na mgombea mwenza Mitt Romney
-
Umoja wa Mataifa wazituhumu Rwanda na Uganda kuendelea kuwaunga mkono waasi wa kundi la M23
-
watu 80 wapoteza maisha katika mapigano ya jumanne nchini Syria
-
Harambe Stars walambishwa mchanga na Bafana Bafana kwa mabao 2-1 katika mechi ya kirafiki
-
Mbunge maalum nchini Kenya Sheikh Mohammad Dor atiwa nguvuni
-
Kukamatwa kwa kiongozi wa kundi la MRC jijini Mombasa
-
Siku ya kimataifa ya usalama wa chakula
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu Rwanda kuwaunga mkono M23